Maziwa ya ng’ombe ni mojawapo ya chakula kilicho na virutubisho vingi vinavyofaa kwa afya ya binadamu.
Pamoja na ubora wake huu, aina hii ya maziwa huwa haifai kwa mtoto mwenye umri chini ya mwaka mmoja.
Huwa na kiasi kidogo cha madini ya chuma ambacho hakikidhi uhitaji wa mtoto, hali hii...