Ndugu zangu wananchi wa Mchinga,
Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole kwa changamoto zinazotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika jimbo letu. Tunatambua kuwa mvua hizi zimeleta athari kwa familia zetu, makazi, na shughuli za kila siku. Hata hivyo, napenda kuwahimiza kuwa na utulivu na...
Wakuu,
Majuzi TMA walitabiri mvua kubwa kuanza kunyesha kwa baadhi ya mikoa, athari zikisemwa kuwa za kawaida.
Tumeona mvua imeanza kunyesha, hali ikoje huko ulipo? Miundombinu iko salama?
Pia soma TMA yatoa utabiri wa mvua kubwa katika mikoa 25
Itakuwa vizuri ukiweka athari uambatishe na...
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ametaja athari za Kimbunga Hidaya na Mvua za elnino kuwa ziliharibu barabara 68 nchini, ambapo ma-culvet 189 yaliharibiwa. Aidha ni jumla ya kilometa 528 zimeharibiwa kutokana na hali hiyo. Waziri amesema barabara hizo zimeanza kujenga na baadhi zimeanza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.