Yani wengi wao wanaenda na matukuo huwezi kujua unique waandishi professional. Mfano hivi vi online tv ndio takataka kabisa yaani kama wanakusanyana mtu mmoja akiojiwa vi-mic vimejazana utadhani wapo sokoni.
Sijaona waandishi ambao wamejitenga na taaluma zao yani siasa yumo, Ngorongoro yumo...