Nimeonaaa majuzi tbs wanaaswa kuhusu ongezeko la vijana kunywa pombe kupitiliza na kufa gafla. Shidaa sioo kunywa vijana wananyweshwa gongo virobaa kilichobadilika n package tu.
Hii kitu niliwahi kuilaan haoaapa lile zoezi la kupiga marufuku viroba mchangawamacho unakuja. Imagine kina kampuni...