TALAKA AU KUACHANA KUNAWAATHIRI ZAIDI WATOTO.
Sehemu Ya 1
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na changamoto nyingi sana katika ndoa na mahusiano hali inayopelekea ndoa nyingi na mahusiano mengi kuvunjika.
Mbaya zaidi kuvunjika kwa ndoa na mahusiano ambayo teyari kuna watoto ndani yake, wazazi...