Mimi ni kijana nina miaka 24 tafadhari nina shida.
Naomba unisaidie maana Nina mke na mtoto mmoja toka mke wangu amejifungua kiufupi Sina furaha na maisha kabisa maana baada ya kujifungua tu tulikwenda hospitali na tukaweka uzazi wa mpango lakini baada ya hapo mke wangu amekosa hisia na Mimi...