Siku tatu baada ya shambulio la kuvuka mpaka la Ukraine katika eneo la Kursk nchini Urusi, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Moscow lazima "ihisi" matokeo ya uvamizi wake Ukraine.
"Urusi ilileta vita katika ardhi yetu na inapaswa kuhisi kile ilichokifanya", Bw Zelensky alisema katika...