Huyo si mwingine bali ni C.S. Lewis
C.S. Lewis, once a firm atheist, became one of the greatest Christian thinkers and writers of the 20th century. His journey from skepticism to faith was not emotional or blind—it was the result of deep intellectual reflection. Through his powerful books, he...
Habari wana-JF!
Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.
Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali...
Wakati Atheists wanakiri hadharani kwamba akili zao zimeshindwa kuielewa dhana ambayo wao wameibatiza jina na ku iita " The problem or Evil" , Watu wanao amini kuhusu uwepo wa Mungu nao wana ielezea Atheism kama " The Problem of Atheism"
But tofauti na Atheists ambao akili walizo pewa na...
Namna ambavyo Atheism inasambaa ulimwenguni kwa sasa kadiri miaka inavyo songa katika njia ya amani inanipa faraja na kusema hii ndio njia ambayo dini ilipaswa kuitumia.
Huwezi kuta Atheists wanatumia nguvu kubwa kama vita, kuchinja watu, kulipua watu ili wasiamini kuwa kuna Mungu lakini haya...
Sababu kuu ni moja tu, mfumo huu wa maisha ya sasa utakuwa umepinduliwa na kuwa replaced na mfumo mpya.
Mfumo huu mpya utajibu maswali yote ambayo dini kuu mbili zimeshindwa kuyajibu.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia ndio yatakayo fanya mfumo wa maisha ya sasa hivi upinduliwe na kuwa...
The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.
Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.