atheists

  1. Setfree

    Setfree Apangua Hoja za Atheists

    A contingent multitude repudiates the plausibility of a Supreme Being, yet the meticulous orchestration of cosmic mechanics inexorably intimates an omniscient Architect. Empirical inquiry elucidates the immutable axioms governing the natural order—whence originates such profound exactitude? The...
  2. Dialogist

    Kwanini Wasiomini Mungu Wameongezeka Sana Siku Za hivi Karibuni?

    Wanabodini Habari.. Siku Za hivi Karibuni Hapa Jukwaani Na Hata Mitaani Nimeshuhudia Ongezeko Kunwa La Watu Wasioamini Uwepo Wa Mungu.. Mnadhani Shida Ni Nini? Na Nini Kifanyike Kutukomboa Sisi Na Kizazi Chetu Toka Kwenye Hii Laana?? Je Kuna Motive Behind Ya Hili Swala? Au Waabudu Shetani...
  3. Yoda

    Kwanini Atheists wako mtandaoni tu ila mtaani hawaonekani kabisa?

    Huku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje? Je Atheists wanaogopa kunyanyapaliwa kama mashoga hivyo kuamua kuishi maisha ya kifichi na usiri mkubwa?
  4. M

    Ni muda wa atheists kutambuliwa kisheria!

    ---------------- 2024, Aug 24. Dar es Salaam. Saa 3:35 asubuhi. Kwanza nitoe pongezi kwa serikali yetu kutambua na kuheshimu imani za watu. Binafsi ninaamini katika Mungu, tena kindaki ndaki. Lakini kuna jambo halipo sawa mahali. Nikiuliza leo hii wangapi waliujuaje Ukristo au Uislam, watajibu...
  5. Utajua wewe

    Ongezeko la atheists( watu wasioamini uwepo wa Mungu)

    Habari wana-JF, Kumekuwa na uwepo mkumbwa wa atheist duniani, sasa unahisi nini kifanyike kuokoa ndugu zetu? Na wapi tunapofeli? Na kama tukishindwa kukemea basi tuwachukie kwa moyo wote. Tujitahidi kusaidia atheist wanapotea vibaya mno.
  6. Eli Cohen

    JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
  7. matunduizi

    Atheists (wasioamini Mungu) ndio jamii ya watu wanaoongoza Kujiua (Suicide) Duniani

    Katika tafiti mbalimbali zinaonyesha jamii ya watu wanaoongoza kujiua ulimwenguni. Hata hivyo jamii hii inqyokuwa kwa kasi, yenye watu wajivuni wanaodhani wametaka akili mpya nakuwaita watu wa dini mambumbumbu wengi wao licha ya uchangamfu wa nje na kimaandishi ndani ni wachovu, wanamisongo ya...
  8. Mpigania uhuru wa pili

    Siku Atheists wakiweza kutengeneza pumzi ya uhai na ku-escape death basi ntaungana nao

    Kama kinavyosema kichwa cha habari siku wakiweza kufanya hayo mambo mawili basi ntaungana nao kwenye msimamo wao tofauti na hapo ni porojo tu. Hivyo vitu viwili ndo mafumbo makubwa yaliyomfanya mwanadamu na ujanja wake wote aufyate.
  9. matunduizi

    Hii ndiyo sababu miaka michache ijayo zaidi ya 80% ya watu wa dini watakuwa atheists vificho bila kutoka makanisani na misikitini

    Sababu kubwa ni laana za kuwapa wanadamu wenzao nafasi ya au karibu na Mungu. Hii laana husababisha wahusika kutoridhika na matunzo ya Mungu wao. Hivyo kumkinai Mungu, kuwakinai wanaowafuata wakiujua ubinadamu wao na kugeukia atheism kama faraja mbadala. Yesu akija atakuta kundi hili kubwa...
  10. Miti7

    Waliozaliwa tarehe zifuatazo wengi wao huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

    Watu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist Waliozaliwa kati ya 1. Januari 20 mpaka February 18 2. May 21 mpaka juni 20 3. August 23 mpaka September 22 4. December 22 mpaka January 19 Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists) Kama wewe ni...
  11. sky soldier

    Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

    Dini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika. Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi...
  12. R

    Swali gumu kwa Atheists

    https://youtu.be/jDzJu189nqI?si=UQmWgaNK996arJo3 Naomba atheists ( wasioamini uwepo wa Mungu) mpitie video hii na kutoa majibu kwa uweledi na ustaarabu. Karibuni!
  13. Ahmed Saidi

    Atheists wameanza kuwa na uchungu na misimamo yao

    Hivi kwanini Hawa atheists wa JF wamekuwa na uchungu sana pindi mtu unapozungumzia uwepo wa Mungu na jambo jengine linalohusiana na Imani? Yaani wanautetea huo u-atheism wao kwamba kama hukuufuata basi Kuna adhabu itakukuta. Mambo yamebadilika sasa yaani wao ndio wanaongea Kwa uchungu kuliko...
  14. Mokaze

    Atheists wana mtindio wa ubongo

    Salaamu wakuu. Niende Moja kwa moja kwenye mada. Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani. Hao...
  15. JumaKilumbi

    Hitimisho langu juu ya swali la Mungu na Atheists

    Katika uzi nilioufungua jukwaani hapa nilioutumia kuwaalika Atheists kuleta hoja za kuthibitisha kuwa Mungu hayupo ili tujifunze kuhusu misingi yao, wachache hawakunielewa kwa kudhani nilitaka mabishano, ila nimepata hitimisho lifuatalo Baadhi ya Atheists wanashindwa kuelewa Mungu huyu (kama...
Back
Top Bottom