MWANAUME alishtakiwa jana kwa kumuua mkewe alipomtusi kwamba hajiwezi chumbani.
Stephen Nyangeri Mauti,mwenye umri wa miaka 25 alikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe Faith Nyatich. Wapenzi hao walioana Agosti mwaka huu.
Baada ya miezi miwili tayari ndoa yao ilikuwa imegauka kuwa chungu ndipo...