Wakati uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Au Chairman Ukiwa umekaribia,joto linazidi kupanda.
Wagombea Wakuu ni Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Djibouti Mahamoud Ali Yousouf na Raila Odinga wa Kenya ambae Aliwahi kuwa Waziri na Kinara wa vurugu za Kila mara za uchaguzi...