augustine okrah

Augustine Okrah (born September 1993) is a Ghanaian footballer who plays as an attacking midfielder or a winger for Simba SC.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    FIFA yaifungia Yanga kusajili kutokana na kushindwa kulipa madai ya Augustine Okrah

    VIA FIFA LEGAL PORTAL Young Africans Sport Club Miami, 11 November 2024 Ref. no. FDD-20161 Registration ban implementation Dear Madam, Dear Sir, We refer to the abovementioned matter, as well as the decision passed by FIFA in the matter ref. no. FPSD-15711 (the Decision) In this context, it...
  2. Mkalukungone mwamba

    Okrah aiponza Yanga, yapewa siku 45 kuilipa Bechem United Mil. 216

    Shirikisho la soka duniani ( FIFA ) limeitaka klabu ya Yanga kuilipa kiasi cha USD 80,000 sawa na Tsh Milioni 216 klabu ya Bechem United ya nchini Ghana ,pesa ya malipo iliyosalia katika uhamisho wa Augustine Okrah kutoka Bechem United kwenda Yanga. FIFA imeitaka klabu ya Yanga kulipa pesa hiyo...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga yaachana na Okrah baada ya kuishia kufunga goli 1

    Uongozi wa Yanga umethibitisha Kiungo mshambuliaji raia wa Ghana Augustine Okrah, hatakuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao 2024-2025. Nyota huyo alitua Young Africans Januari 2024 akitokea Bechem United ya Ghana na kuitumikia timu kwa kipindi cha miezi sita akifanikiwa kufunga bao moja tu...
  4. S

    Rasmi Simba Imeachana na Augustine Okrah

    KWAHERI AUGUSTINE OKRAH Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah 🇬🇭 baada ya kumalizika mkataba wake ndani ya klabu na mchezaji hataongezewa mkataba mpya.
  5. Execute

    Augustine Okrah, winga bora zaidi katika soka la Tanzania kwa sasa

    Huyu jamaa alisajiliwa kimyakimya na hata gharama za ujio wake hazikuwekwa wazi. Ameonesha kuwa ni winga mwenye makali ya kimataifa. Ana kasi, pasi za upendo, anaona nafasi katikati ya msitu wa mabeki na ni mpambanaji. Katika muda mfupi aliopo Simba amefanya wachezaji wengi sana waliopita hapo...
  6. N

    Augustine Okrah kauzwa USD 150,000, usisikilize wasioelewa

    Sasa mtu analazimisha kabisa kwa confidence zote kwamba jamaa yuko kwa mkopo simba anabishana na hadi na club husika ya huko Ghana na media za Ghana, agh aiseee ====== Tanzanian giants Simba SC have reached agreement with Bechem United for the transfer of winger Augustine Okrah...
  7. Kiungonguli

    Nani mkali kati ya Aziz Ki na Augustine Okrah?

    Kwa mnaowafahamu vema mafundi hawa waliosajiliwa na YANGA na SIMBA tuambieni bila kuweka ushabiki nani kalamba dume?
  8. Gordian Anduru

    Timu aliyotoka Augustine Okrah (Bechem) haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya CAF

    Naam Bechem United haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya CAF na mafanikio yake makubwa ni kuchukua kombe la FA la nchi yao (kama ASFC hapa Bongo). Timu aliyotoka Aziz Ki Asec imewahi hata kuchukua kombe la africa kabisa mwaka 1998 na kubeba super cup yake 1999.
Back
Top Bottom