VIA FIFA LEGAL PORTAL Young Africans Sport Club
Miami, 11 November 2024
Ref. no. FDD-20161 Registration ban implementation
Dear Madam, Dear Sir,
We refer to the abovementioned matter, as well as the decision passed by FIFA in the matter ref. no. FPSD-15711 (the Decision)
In this context, it...
Shirikisho la soka duniani ( FIFA ) limeitaka klabu ya Yanga kuilipa kiasi cha USD 80,000 sawa na Tsh Milioni 216 klabu ya Bechem United ya nchini Ghana ,pesa ya malipo iliyosalia katika uhamisho wa Augustine Okrah kutoka Bechem United kwenda Yanga.
FIFA imeitaka klabu ya Yanga kulipa pesa hiyo...
Uongozi wa Yanga umethibitisha Kiungo mshambuliaji raia wa Ghana Augustine Okrah, hatakuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao 2024-2025. Nyota huyo alitua Young Africans Januari 2024 akitokea Bechem United ya Ghana na kuitumikia timu kwa kipindi cha miezi sita akifanikiwa kufunga bao moja tu...
KWAHERI AUGUSTINE OKRAH
Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah 🇬🇭 baada ya kumalizika mkataba wake ndani ya klabu na mchezaji hataongezewa mkataba mpya.
Huyu jamaa alisajiliwa kimyakimya na hata gharama za ujio wake hazikuwekwa wazi.
Ameonesha kuwa ni winga mwenye makali ya kimataifa. Ana kasi, pasi za upendo, anaona nafasi katikati ya msitu wa mabeki na ni mpambanaji.
Katika muda mfupi aliopo Simba amefanya wachezaji wengi sana waliopita hapo...
Sasa mtu analazimisha kabisa kwa confidence zote kwamba jamaa yuko kwa mkopo simba anabishana na hadi na club husika ya huko Ghana na media za Ghana, agh aiseee
======
Tanzanian giants Simba SC have reached agreement with Bechem United for the transfer of winger Augustine Okrah...
Naam Bechem United haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya CAF na mafanikio yake makubwa ni kuchukua kombe la FA la nchi yao (kama ASFC hapa Bongo).
Timu aliyotoka Aziz Ki Asec imewahi hata kuchukua kombe la africa kabisa mwaka 1998 na kubeba super cup yake 1999.