augustino mrema

Augustino Lyatonga Mrema (born 31 December 1944) is a Tanzanian politician and former minister for home affairs in Tanzania. After switching party affiliation in February 1995 he joined NCCR-Mageuzi before moving on to Tanzania Labour Party (TLP) where he was made the Party Chairman. He also served as the Member of Parliament for Vunjo constituency on multiple occasions until 2015 when he was defeated in the National election by ames Mbatia of NCCR MAGEUZI. In early 2016 Mrema was appointed by President John Joseph Pombe Magufuli as the chairperson of Tanzania Parole Board.Mrema is a member of the Chaga tribe from Kiraracha Village near Mount Kilimanjaro. He is the second of five siblings.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    Rais Samia yuko bize kujitengenezea "Augustino Mrema" wake kupitia Makonda

    Naona kabisa SSH anaenda kujipatia Augustino Mrema wake kwa kupitia Makonda. Utaratibu wa Mrema hauna tofauti na wa Makonda, anajijenga yeye binafsi, baadae Sasa ataamini yeye ndio yeye. Sasa itafikia muda anakuwa liability kwa CCM na Rais Samia sidhani kama ataweza kumdhibiti tena. CCM bado...
  2. 101 East

    Mjane wa Augustino Mrema ajumuishwa kwenye mirathi

    Mahakama Kuu ya Tanzania, masjala ndogo ya Temeke jijini Dar es Salaam, imemaliza mvutano kuhusu nani wanastahili kunufaika na mali za aliyekuwa mwanasiasa mkongwe, Augustino Mrema aliyefariki Agosti 21 mwaka jana. Katika hukumu iliyotolewa jana na Jaji Augustine Rwizile, amewataja wanufaika...
  3. BARD AI

    Matukio yote muhimu katika maisha ya Augustino Mrema

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha TLP, Augustino Mrema amefariki duninia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam alikokuwa anapatiwa matibabu. Mrema (77) aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, amefariki dunia leo Jumapili, Agosti 21, 2022, asubuhi, katika Hospitali ya Taifa...
  4. EINSTEIN112

    TANZIA Augustino Mrema, Mwenyekiti wa chama cha TLP afariki dunia

    Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo Jumapili 21 August 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Mrema aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alizaliwa Desemba 31, 1944, Vunjo mkoani Kilimanjaro...
  5. J

    CHADEMA Digital na kadi za Papo kwa hapo za Augustino Mrema kuna tofauti gani?

    Naomba kuelimishwa kuhusu hii mnayoita Chadema Digital ni nini hasa? Je, mmewaiga CCM ambao wanasajili wanachama wao kwa njia ya mtandao tokea enzi za hayati Magufuli? Au mmeiga ile style ya Augustino Lyatonga Mrema ya kadi za papo kwa hapo? Majawabu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  6. M

    Augustino Mrema kurudi bungeni kwa kura nyingi baada ya kuainisha aliyowatendea wananchi wa Vunjo

    MREMA NA MAENDELEO YA VUNJO 2010 - 2015 UTANGULIZI Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi mungu aliyenipa uhai, afya na nguvu kuweza kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Vunjo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita, napenda kuwashukuru wananchi wote wa Jimbo la Vunjo, kwa ushirikiano mkubwa walionipa...
  7. Idimi

    Augustino Mrema: Behind the Scene

    Mnyonge Mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Katika kikao cha saba cha bunge lilohitimishwa jana, kamati yake ya Hesabu za serikali a mitaa ilitoa ripoti moja nzuri sana juu ya ubadhirifu mkubwa ulioonekana katika serikali za mitaa. Kamati yake, tofauti na kamati nyingine za bunge, ilithubutu...
Back
Top Bottom