Mtoto wa waziri wa fedha wa zamani achukua fomu NCCR-Mageuzi
Posted by NCCR Media | Jul 29, 2020 | Habari Maalumu
Mtoto wa waziri wa fedha wa zamani achukua fomu NCCR-Mageuzi. Siku takribani 90 zimesalia kabla ya watanzania kufanya maamuzi kwenye sanduku la kupiga kura hapo Oktoba 28, 2020...