Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na huo mwingine breki na klachi.
Kwenye autos break ndo iyoiyo inashift gia. Kwaiyo unaweza kutenga mguu kwa ajili ya kukanyagia wese tu na huo mwingine kwenye break.
Au unaweza kutumia mguu mmoja...
Ndugu zangu.
Katika kumalizia mwisho wa mwaka wanaume tuzidi kukumbushana kwamba. Siku zote mwanamke anazaa na yule mwanaume anayempenda , ukiona mwanamke uliye nae kwa hiari yake binafsi bila makubaliano anaweka / kutumia vithibiti mimba kwa namna zake na jinsi zake ili tuu asibebe mimba yako...
Utangulizi
Wazo kuu ni kuboresha mchakato wa ununuzi wa umeme ili kuruhusu kuwaka moja kwa moja (automatic) mara baada ya units za umeme kununuliwa na mtumiaji, mfumo huu (HeWasha) unalenga kuleta urahisi mkubwa kwa wateja, na kuondokana na changamoto ambazo kwa sasa wanazipitia kama kwenda kwa...
Ili kuondoa mianya ya rushwa, mabishano nakadhalika. Polisi Usalama Barabarani wabaki kukagua mambo mengine, zitegwe speed detectors, ukizidisha mwendo message inakuja tu kwenye simu yako unapambana na hali yako, askari wapungue road wabaki vehicle inspectors tu na wakaguzi wa makosa mengine...
Wanajamii habari zenu ,ninaomba msaada wa kielimu kwenye suala hili la kutengeneza animation ya automated power factor correction system kwenye kiwanda kidogo .
Pia na namna ya kuandika literature review ya project work ya hii kazi.
wakuu naomba msaada namna ya KUTENGENEZA AUTOMATIC templete ya matokeo ya shule ya msingi....yaani niwe naweka tu majina na matokeo, template yenyewe iwe inanitafutia jumla,wastani, daraja na nafasi.....automatic.....msaada wakuuuu
Huu uzi nilitamani ningepata Automatic Gearbox mbovu nikaufanyia video. Kwa maana ninaamini kwa njia hiyo wote mngenielewa vizuri. Hata hivyo nitajitahidi kuelezea kwa kadri nitakavyoweza.
Hebu iangalie hii picha vizuri. Hii ni cross section ya Gearbox ya automatic. 99% gearbox za automatic...
Nahitaji automatic rollers/ trays zinaweza kutumika katika incubator, Kama picha invyoonesha.Nahitaji kujua Bei za manunuzi yake zimekaaje kwa Dar es salaam
Waungwana heri ya pasaka na mfungo mwema kwa kila muhusika.
Kwa anaemjua fundi wa mlango wa porte ambao umeacha kujifungua automatically. Awe dar tafadhali.
Shukran za dhati za awali.
Cc: Extrovert
If you need this product call 0747744895 (Nahitaji watu seriously)
Product Description
Diameter of Inner Circle of Pressing; 10mm
Power; Different Model Different Power
Applicable; Peanut, Corn, Soybean, Sunflower
Handling Capacity; 4.5(Kg/H)
Transport Package; Export Packing...
Karibu upate huduma ya Automatic gate motor. Hiki ni kifaa maalumu kinachofunga na kufungua geti kwa remote au simu.
Inakua na battery kwaajili ya kuhifadhi umeme endapo ikitokea dharula umeme umekatika itaendelea kufanya kazi.
Gharama yake ni 1,750,000/= tu vifaa pamoja na ufundi...
RICHARD SPIKES: MVUMBUZI WA INJINI ZA GARI ZA KISASA!!
Wengi wetu leo tunaendesha gari za kisasa zenye kubadili mwendokasi bila kuhitaji kubadili gea(automated gear transmission systems), na wengi naamini aghalabu wanapofikiri nani aliwezesha hilo' basi taswira ya mzungu fulani inawajia...
Topcon ipo na vifaa vyake vyote tayari kwa kutumika, ni used japo haijatumika sana kama inavyoonekana kwenye picha
Specifications; overall length 192mm, effective diameter 30mm, magnification 26x24x field of view 1`30`resolving power 3.5'', minimum focus 0.5m, horizontal circle diameter 117mm...
Habari ya majukumu wadau.
Baada ya kuagiza gari used kutoka Japan ilipofika nchini nilibadilisha engine oil na ATF. Kwa maelezo ya wataalam (garage) ambako nilifanyia service walinishauri kubadili ATF baada ya kutembea angalau 50k kilometres.
Hadi sasa nimetembea 20k kilometres na kwa sababu...
IJUE BMW X5 AUTOMATIC DIESEL
Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari
UTANGULIZI
Model inayoongelewa hapa ni toleo la mwaka 2000 mpaka 2007
Kwa wakati huo iliaminika kwamba gari ya SUV tamu zaidi ni Mercedes Benz M Class na Range Rover😊, lakini ukweli ni kua baada ya X5 kuingia sokoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.