Tunauza mashine za kuchakata malisho ya mifugo kama vile kuku.
Mashine hii inauwezo wa kuchakata mabua na majani hadi kuwa vipande vidogo dogo sana.
Inauwezo pia wa kusaga magunzi,mahindi,mashudu na material mengineyo yanayotumika katika kutengenezea chakula cha kuku hadi kuwa unga kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.