automatically

  1. Makanyaga

    How to automatically remove dublicate words or paragraphs in MS Word

    To automatically remove duplicate words: Enter (<*>) (\1) in the “Find what” box. Then; enter \1 in the “Replace with” box. Then; Click the “Replace All” button. To automatically remove paragraphs: Enter (*^13)(\1)@ in the “Find what” box. Then; enter \1 in the “Replace with” box. Then...
  2. B

    Kila anayetetea Haki, Amani, Umoja na Maendeleo Automatically anaungana na Chadema hata kama sio Mwanasiasa

    Ndugu zangu habari za leo. Imefahamika hivi sasa kila anayetetea haki na amani ndani ya Nchi hii anaonekana kwenye jamii kama vile ni Mwana chadema. Hii inatokana na Chama hicho kuwa na misingi ya kuunganisha watu wote wenye mapenzi mema na Nchi hii. Misingi hiyo imejengwa kwenye Haki...
  3. C

    Nani aliclassify majina haya jamani. Ilikuja automatically au?

    Nimekuwa nikijiuliza Sana swali hili kwamba ni nani aliclassify majina haya kiasi ambacho mwanaume akiitwa Rachel au Diana kuwa ni kosa au mwanamke kuitwa juma au Gabriel ni kosa. Au muislam kuitwa John au mkristo kuitwa Abdul kwamba eti nalo ni kosa. Mi navyojua wewe kuitwa flani labeling tu...
  4. TheForgotten Genious

    SoC01 Pendekezo: Mfumo mbadala wa Manunuzi ya Umeme

    Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
  5. ngotho

    Simu yangu inadownload vitu automatically

    Wanajukwaa, simu yangu inatabia ya ku-download vitu kama vile apps, na hii inatokea automatically. Naisaidieje hili tatizo? Msaada wenu tafadhali.
  6. Tripo9

    Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kutype nichague tu

    Hii naamini ni settings tu Nataka Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kitype nichague tu Aina ya simu Redmi Nisaidieni.
  7. Handsome boy 1

    Kuwa na wanawake wengi huja automatically

    Kama ilivyo Mahusiano kufa pia Mahusiano hubadilika uliyemuamini juzi leo haaminiki tena mpka unashangaa lakini ni muhimu tu kujua kuwa Mahusiano yanabadilika wapo watu wapo kwenye ndoa lakini nje ya ndoa wana watoto yaani kama kaubalozi kadogo kapo nje ya ndoa na watoto anasomesha kabisa na...
  8. Infantry Soldier

    Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this feasible and implementable?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable? Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO...
Back
Top Bottom