Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa wakizitumia kuchota mamilioni ya fedha kutoka kwa wateja wao bila jasho. Wachezaji wa huu mchezo...