Nimemaliza chuo kikuu cha st John's Dodoma (st.John’s university of Tanzania ) intake ya 2014/2017 fani ya maabara kwa ngazi ya stashahada(diploma in Medical laboratory ).
Licha ya kuwa nimepata vyeti vyote na kubahatika kusajiliwa na bodi zote zinazohusika na afya na pia hadi sasa...
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza Diploma katika chuo cha CBE, changamoto yangu kubwa hawataki kupeleka matokeo yangu NACTE ili niweze kuapply AVN namba niweze kuendelea na degree.
Nimejaribu kwenda mara nyingi lakini jibu nalojibiwa tunafanyia kazi, sasa ni miezi miwili nahangaika maana mimi ni...
Jamani wakuu mimi ni mhitimu wa diploma nahitaji kuendelea kusoma bachelor lakini siwezi kuendelea bila kupata AVN kutoka NACTEVET.
Tangu mwezi wa 7 nimelipia sh 15,000/= ili kupata lakini mpaka saivi sms ya GEPG ipo inasema nimelipia lakini NACTE wamekua wakinitumia control number nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.