Mimi ni mwanafunzi nimemaliza Diploma katika chuo cha CBE, changamoto yangu kubwa hawataki kupeleka matokeo yangu NACTE ili niweze kuapply AVN namba niweze kuendelea na degree.
Nimejaribu kwenda mara nyingi lakini jibu nalojibiwa tunafanyia kazi, sasa ni miezi miwili nahangaika maana mimi ni...