Nimemaliza chuo kikuu cha st John's Dodoma (st.John’s university of Tanzania ) intake ya 2014/2017 fani ya maabara kwa ngazi ya stashahada(diploma in Medical laboratory ).
Licha ya kuwa nimepata vyeti vyote na kubahatika kusajiliwa na bodi zote zinazohusika na afya na pia hadi sasa...