avn number

The AVN Awards are film awards sponsored and presented by the American adult video industry trade magazine AVN (Adult Video News) to recognize achievement in various aspects of the creation and marketing of American pornographic films. They are often called the "Oscars of porn".
The awards are divided into over 100 categories, some of which are analogous to industry awards offered in other film and video genres and others that are specific to pornographic/erotic film and video.
AVN sponsored the first AVN Awards ceremony in February 1984. The award ceremony occurs in early January during the AVN Adult Entertainment Expo in Las Vegas, Nevada. Since 2008, the ceremony has aired in a form edited for time on Showtime, which is usually broadcast in a 90-minute time slot.
Awards for gay adult video were a part of the AVN Awards from the 1987 ceremony through the 1998 ceremony. The increasing number of categories made the show unwieldy. For the 1999 ceremony AVN Magazine began hosting the GayVN Awards, an annual adult movie award event for gay adult video.

View More On Wikipedia.org
  1. AVN number kutoka Nactvet

    Habari nduguzangu, Mimi ni muhitimu wa diploma, nahitaji kuendelea na masomo ya degree, ila nina changamoto moja, ni kwamba kwenye account yangu ya kuomba AVN number nimesahau password na nikitaka ku reset inasema niweke number ya simu ya zamani ambayo kwa sasa siitumii, yaani sina kabisa hiyo...
  2. A

    KERO Serikali itusaidie kupata AVN number wahitimu Diploma UDOM

    Sisi Wahitimu wa ngazi ya Diploma katika Chuo kikuu cha dodoma tuna changamoto ya kutopatiwa Award Verification Number (AVN) mpaka sasa hali ambayo inatufanya tushindwe kufanya maombi kuomba katika vyuo vingine licha ya kukosa dirisha la mkopo. Tunataka kuendelea na elimu ya juu lakini...
  3. M

    Naomba msaada kuhusu AVN Number

    Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Nini ?!
  4. G

    KERO Ni kwanini mfumo wa AVN Number wa NACTVET unasumbua wakati una watu wachache wanaoomba ukifananisha na bodi ya mikopo(HESLB)

    Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER. USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa notification kwamba USER NAME na NAMBA YA SIMU sio Sahihi. Halafu ukienda ofisini kwako pale...
  5. J

    KERO NACTVET hawaoneshi ushirikiano kwa wanafunzi wanoomba AVN number kwa ajili ya matumizi ya kuomba mikopo na vyuo

    Ikiwa Leo ni siku ya nne, najaribu kuingia kwenye system ya "NACTVET" Kuomba "AVN NUMBER" lakini sifanikiwi licha ya kuwa nimejisajili, ila system haijanipa nafasi ya kutengeneza password, na hata siwezi kuingia kabisa, na mbaya zaidi mfumo unload tu Wala hata haufunguki. Ikiwa zimebakia siku...
  6. G

    AVN Number kwa waliohitimu mwaka 2024

    Habari wanaJF, Naomba kuuliza kwa sisi tulimaliza mwaka huu na tunahitaji kuendelea na masomo, tutakuwa na muda wa kuomba mkopo na vyuo kutokana na deadline waliyoweka?, Naomba kupata uzoefu kwa wale waliowahi kufanya hivyo maana lengo langu niunge nasubiri matokeo kwa sasa.
  7. K

    KERO Nini sababu ya kuwalipisha wanachuo pesa ili wapate AVN namba?

    Habari zenu wana Jamii Forums. Niende kwenye mada moja kwa moja, nimekua kwenye wakati mgumu kimtazamo kutokana na mambo yanavyoenda kwenye Nchi yetu, na moja ya jambo ambalo limekua likinipa ukakasi ni juu ya swala la NACTVET kulazimisha wanafunzi wanaotaka kusoma hatua ya Degree kununua namba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…