avunja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aghairi kufunga ndoa iliyogharimu Tsh. 950m baada ya Mchumba wake kukataa kusaini PreNup

    Mcheza kikapu maarufu toka NBA, Stephen Jackson amemuacha solemba aliekuwa mchumba wake baada ya kukutaa kisaini makubaliano ya PreNup Kwa Msaada wa Google Translator: Umaarufu na utajiri humsaidia sana mtu aliyefanya kazi kwa bidii kwa ajili yake. Lakini pia huwa na mabadiliko ya kila mtu...
  2. Avunja ndoa ya miaka 20 kwa tabia ya mkewe kupakulia majirani chakula

    Image: MARGARET WANJIRU Mwanamume mmoja nchini Zambia amewaacha watu kwa mshangao kubwa baada ya kumpa mkewe talaka kwa sababu ya kuwa na mazoea ya kuwapakulia majirani chakula. George Phiri mwenye umri wa miaka 49 aliamua kumuacha mkewe Tanta Zulu mwenye umri wa miaka 34 ambaye walidumu...
  3. LeBron James avunja rekodi ya Kareem Abdul Jabal awa mfungaji wa muda wote NBA

    Leo hii Lebron James anaivunja rekodi hiyo na atakuwa kinara wa mabao huko NBA kwa sasa King 👑 James hana mpinzani na inaaminika huenda akajengewa sanamu lake pale Ikulu ya Marekani. Huyu Lebron ni kama ujumuishe Curry, Jordan, Magic, Shaquille na Durant ndio upate kiwango chake hivyo unaweza...
  4. Mtanzania avunja rekodi kwenye mbio za Valencia Marathon

    Mtanzania avunja rekodi kwenye mbio za Valencia Marathon Leo tarehe 4/12/2022, mtanzania Gabriel Geay (26) aweka rekodi mpya ya taifa kwa mbio za km 42 (Marathon) huko Valencia, Spain. Geay kamaliza mbio hizo akiwa wa pili kwa muda wa masaa 2:03:00 ambayo ni muda wake binafsi bora zaidi pia...
  5. Marekani: Elon Musk avunja Bodi ya Wakurugenzi ya Twitter

    Elon Musk amevunja bodi ya Twitter na kujifanya "mkurugenzi pekee" wa kampuni hiyo. Wanachama wote wa awali wa bodi hiyo wameondolewa kwenye jukumu hilo, na kumwacha Bw Musk pekee kama mkurugenzi, kulingana na jalada jipya. Hatua hiyo ilichukuliwa wiki iliyopita kama sehemu ya ununuzi wa Bw...
  6. Mke mpya wa Manara avunja ukimya, "Sijafata Pesa"

    Mke mpya wa Haji Manara Rushaynah Bugati amevunja ukimya kwa wanaomshambulia kudai kwamba amefuata pesa kwa Manara jambo ambalo amelikana na halina ukweli wowote. Rushayna amesema alianza kufanya kazi na Manara kwa muda mrefu na anamjua vizuri hana pesa yoyote tofauti na watu wanavyomfikiria...
  7. Kanye West avunja mkataba wa Tsh. Trilioni 2.2 na kampuni ya mavazi ya GAP

    Rapa na mfanyabiashara huyo ameiandikiwa barua kampuni ya GAP na kuijulisha rasmi kwamba atasitisha ushirikiano wake na kampuni hiyo ya mavazi, Ushirikiano huo uliokuwa kwenye misukosuko ulianza mwaka 2020, umesababisha West kutoa malalamiko mengi kwenye mitandao ya kijamii katika wiki za hivi...
  8. Cristiano Ronaldo avunja simu ya shabiki wa Everton, aomba radhi, Polisi waingilia kuchunguza

    Polisi wa Merseyside wamethibitisha kuwa wanafuatilia taarifa ya tukio ambalo Cristiano Ronaldo wa Manchester United anatuhumiwa kwa kuikwapua simu ya shabiki wa Everton na kuivunja. Tukio hilo inadaiwa lilitokea jana Aprili 9, 2022 baada ya Man United kufungwa bao 1-0 na Everton kwenye Uwanja...
  9. Sakata la Usiku wa Oscars: Jada Smith avunja ukimya, Mauzo ya Show za Chris Rock yaongezeka

    Baada ya kimya cha muda mfupi, hatimayeJada Pinkett Smith amevunja ukimya baada ya tukio la mumewe kumpiga kibao Chris Rock kwa kumfanyia mzaha katika usiku wa utoaji wa Tuzo za heshima za filamu, maarufu kama Oscars. Katika chapisho fupi katika mtandao wa Instagram, mwigizaji huyo aliandika...
  10. Emanuel Giniki Gisamoda Avunja Rekodi ya Mashindano ya Warsaw Peace Half Marathon huko Poland (1:00:30)Leo.

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania, Emanuel Giniki Gisamoda Ameshinda Mbio za "Warsaw Peace Half Marathon 2022" kilomita 21 Nchini Poland, Kwa Kutumia Muda wa Saa Moja na sekunde thelathini (1:00:30) iliyodumu Miaka 8 Kwa sekunde kumi na Tisa. Tukumbuke Emanuel Giniki, Mwaka huu...
  11. Mpasuko mkubwa CHADEMA Mbeya mjini, Msigwa avunja uongozi huku walioondolewa wakimpinga. Ni mparaganyiko mkuu

    Mpasuko mkubwa umeukumba uongozi wa Chadema Mbeya mjini na hii ni dalili kuwa hawako kwenye good terms. Sijui lini watafika mbali =========== Mchungaji Msigwa: Tumeuvunja uongozi wa jimbo la Mbeya mjini na tunawapa mkoa siku tatu kwa mujibu wa katiba kama nilivyosema kuunda timu(Task force)...
  12. M

    Shaka Hamdu Shaka avunja ngome za ACT-Wazalendo na CUF Kaskazini Pemba

    ...... Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Nec Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba. Takribani jumla ya Wanachama 445 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  13. Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

    Mwandishi wetu, Arusha Waziri wa Nishati, January Makamba ameagiza kuondolewa Mara moja Afisa Habari wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) huku akiagiza kuvunjwa kwa idara ya uhusiano wa shirika hilo na kuwekwa watu wapya. Mbali na agizo hilo pia amegiza hatua za haraka zichukuliwe kwa...
  14. TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996. Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
  15. Thierry Hitimana avunja mkataba na klabu ya Simba

    Amevunja mkataba mchana huu na kila kitu kimeenda sawa kwa pande zote mbili. Ikumbukwe mechi ya Galaxy alikuwa benchi la ufundi la Simba na Gomes akiwa jukwaani ,anapigiwa simu na Gomes afanye mabadiliko akawa hapokei simu,tuliona hata kwenye tv Gomes anapiga simu haipokelewi,mwisho wa siku...
  16. Nahisi Wakenya tutazuiwa riadha, haya Mkenya mwingine avunja rekodi

    Jameni tuanze kuachia achia, ila hamna mwendo huo huo mbele kwa mbele. Kenya's Angela Tanui celebrates her victory at Xiamen Marathon on April 11, 2021 Kenya's Angela Tanui has broken the course record to win the Amsterdam Marathon, Netherlands. She clocked in at 2 hours 17 minutes 57...
  17. M

    Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

    Katambi avunja gome ya Upinzani Ushetu " Tunahamia CCM hatuwezi kubaki kwenye chama kinachosusia kila Uchaguzi " Je Nani ni Nani leo kati ya ACT-Wazalendo na CCM-Tanzania "Tutampa Rais Samia ushindi mnono kama shukrani yetu kwake -wapigakura " Katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Hayati Elias...
  18. Zanzibar: Rais Mwinyi avunja Bodi ya Shirika la Nyumba

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuvunja Bodi ya Shirika la Nyumba kuanzia leo Agosti 27, 2021 Vilevile, Dkt. Mwinyi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amevunja Bodi ya Uhaulishaji Ardhi Visiwani humo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…