"Nilichelewa mishahara ya serikali kwa siku moja, magazeti yote yameandika, mshahara wachelewa...., ingekuwa zama zile isingetokea, sasa niliposikia hapa leo kwamba hamlipwi, hamna mikataba na mmenyamaza kimyaa...hamsemi nikasema kweli mfinyanzi anakula kwenye magai poleni ndugu zangu...