Moja ya viongozi wa hovyo kabisa ni huyu waziri wa TAMISEMI, kwanza sijawahi kumuelewa huyu jamaa capacity na uwezo wake.
hapo alipo.? Hawa watu walipaswa kuwa wapiga madufu. Unfortunately wameingia kwenye ofisi za Umma wakidhan kwamba kila kitu ni maagizo
Mkwe anakuaje waziri wako...
Chama cha ACT Wazalendo kinaitaka mamlaka ya uteuzi kumwajibisha waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro kwa kauli ya kuweka marufuku kwa mashabiki wa timu pinzani zinazotoka nje ya nchi kuvaa jezi za timu zao zitakapocheza dhidi ya timu za Yanga na Simba katika hatua ya robo...
Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara.
Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda...
Rais anashauriwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye kila jambo la mikataba na sheria, sasa mkataba huu baina ya Tanzania na Dubai unaosambaa kwenye mitandaoni hauna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Suala la Bandari sio la Wizara moja ni suala la nchi haliwezi kuamuliwa kiwizara...
Waziri Ndumbaro aliunda tume ya Mwakyembe mwaka jana kutafuta suluhu ya matokeo mabovu Law School.
Ikumbukwe (kipindi hicho) wadau mbali mbali walilivalia njuga vilivyo suala la matokeo mabovu shuleni hapo.
Majaji waliunda tume yao ambayo waziri Ndumbaro aliwahakikishia suluhu, na kuwa...
Ngumi kwa sasa zimekuwa dili na ajira nzuri kwa mabondia.
Katika michezo ya kimataifa skendo za Match fixing ni mbaya sana kwa nchi yetu.
Mpaka ABU wameamua kutokukubaliana na maamuzi ya majaji walioko huku Tanzania, basi tufahamu ya kuwa tayari bomba linavuja na dunia imeanza kufahamu kuwa...
Kama umewahi kutembelea maeneo ya biashara mfano Kariakoo n.k utagundua kila mahali ni kelele.
Kila mtu anatangazo lake na wakati mwingine kusababisha noise pollution kwa watu wengine.
Sasa kwanini tusianzishe kodi itakayotozwa kwa hawa wanaosababisha makelele kwenye maeneo hayo?
Ni wakati...
Habari.
Bila kupoteza muda ndg wanajamvi kwa masikitiko makubwa naandika kwanini serikali inalea baadhi ya watumishi wa afya wa kiume waliyopo kwenye kitengo cha upimaji wajawazito.
Kule wilayani Ludewa mkoa wa Njombe kuna kijana namfahamu kwa jina moja Imma au jina la utani Mapulupulu...
Huyu afisa elimu ana mapungufu mengi nashangaaa kwanini Serikali inamucha mpaka leo amekuwa kero kubwa kwa watumishi anaowangoza mpaka basi.Mara kwanza alikuwa afisa elimu yule aliehamishiwa tabora naye alikuwa msumbufu balaaa.
Lakini huyu alieachwa ana mapungufu balaaa na sijui hivi vyeo uwa...
Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka.
Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa...
Huu ni wendawazimu. Ingekuwa hivi kule Magerezani kusingekuwa na wafungwa hata mmoja. Wote wangekuwa wameomba msamaha na wakasamehewa.
Wanasiasa wezi huwa wanaamini wao si Watanzania wa kawaida. Huamini wao ni watu special so wanahitaji special treatment. Huku ni kuwatusi Watanzania.
Kauli za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.