Wafanyabiashara wadogo Kutoka Dodoma (Uwamama) Umoja wa mama wafanyabiashara wadogo wa masoko zaidi ya 300 wamekabidhiwa shamba la Zabibu lenye Ukubwa zaidi ya hekali mbili na Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini ambae pia ni waziri Wa Madini Mhe. Anthony Peter Mavunde Kwa ajili ya kujiendeleza...