awamu ya nne

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 6 Pack

    Tofauti ya utawala wa awamu ya nne na sita ni jinsia tu, vingine vyote vinafanana

    Niaje waungwana Japo mimi sio mchambuzi mzuri wa mambo ya siasa, lakini nina imani kuwa wengi mtakubaliana na mimi kwamba utawala wa awamu ya nne na ya sita vinafanana sana, sema tofauti ipo kwenye jinsia ambapo awamu ya sita wanawake wameongezeka zaidi katika uongozi kuliko ilivyokuwa awamu ya...
  2. U

    Mstaafu Dkt. Kikwete: Amani na Utulivu nchini kwetu ni matokeo ya msingi imara uliowekwa Hayati Mwalimu Nyerere

    RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya uongozi wa Baba Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kuongeza kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kulinda...
  3. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Miundombinu ya Mabasi ya Mwendokasi Awamu ya Nne - Dar Waendelea

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
  4. Roving Journalist

    Ujenzi wa Miundombinu ya mabasi ya Mwendokasi Awamu ya Nne - Dar unaendelea

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
  5. F

    Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia. Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa...
  6. JanguKamaJangu

    Tume ya Vyuo Vikuu yafungua awamu ya Nne ya Udahili kwa Wanafunzi wa vyuo

    Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa, akizungumza na Waandishi wa Habari, Dar es Salaam, leo Oktoba 13, 2023 kuhusu kufunguliwa kwa dirisha la Awamu ya Nne ya dirisha la Udahili kwa programu ambazo bado zina nafasi kwa mwaka wa masomo 2023/2024. Tume ya...
  7. Mapensho star

    Mgao wa umeme ni moja ya mambo yaliyofanya CCM ichukiwe jiji la Dar Awamu ya Nne

    Jiji hili shughuli nyingi za uchumi zinategemea nishati hii ya umeme kukosekana kwa umeme kunaenda kumuathiri mwananchi moja kwa moja kwanzia mama ntilie, wauza juice, kazi za kulanda mbao,magarage,wenye biashara za saloon na barbershop hizi ndio biashara pendwa jiji hili na zimetapakaa kila...
  8. M

    Je, Serikali ya Awamu ya sita ni Tawi la Serikali ya Awamu ya Nne?

    Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile za Awamu ya Nne. Ubadhirifu wa mali za umma hazijibiwi kabisa au hazifanyiwi suluhisho. Fedha...
  9. BARD AI

    DART kuanza ujenzi Barabara za Mwendokasi awamu ya 4 na 5 DSM 2023

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) umesema mwakani unatarajia kuanza ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Kasi (BRT) katika awamu ya nne na ya tano. Mtendaji Mkuu wa Dart, Dk Edwin Mhede amesema mikakati hiyo inakuja baada ya Serikali kupata mkopo wa Sh650 bilioni kutoka kwa washirika...
  10. Makonde plateu

    Namlaumu Rais wa awamu ya kwanza

    Habari, Kwangu mwalimu Nyerere namlaumu na nitaendelea kumlaumu kabisa yeye ndio chanzo cha haya yote yanayotea hapa Tanzania. Ilikuwaje kama yeye Rais baada ya uhuru asingeibadilisha katiba? Na bado akaendelea kutumia katiba ile ile? Hapa nahisi huyu Rais ni wa mchongo kwa maana aliwekwa na...
  11. kmbwembwe

    Awamu ya nne viongozi wa CCM wanarudi kazi ya ufisadi iendelee

    Nilikua bado nina shaka kama kweli uongozi wa mama unarudisha wahuni na wapigaji wa awamu ya nne ila matokeo ya chaguzi za CCM zinazoendelea ndio zimenitoa shaka. Kwa mfano uchaguzi wa Karamagi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera ndio umenimaliza nguvu. Hakika wahuni wamerudi 2025 sijui...
  12. M

    Umeme ulikuwa unakatika sana tu awamu ya nne watu mmesahay. Nimeambatanisha na ushahidi

    Mzuka Wanajamvi! Mkumbuke awamu ya 4 kulikuwa hamna ukame na mvua zilikuwa zinanyesha za kutosha lakini kila wakati umeme ulikuwa unakatika. Bofya kwenye hizo linki za thread za malalamiko zilizoletwa humu JF -...
  13. JanguKamaJangu

    Party ya Siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Jakaya Kikwete akitimiza miaka 72, Oktoba 7, 2022

    Uwanja wa Polisi Chalinze kwenye kilele cha sherehe ya siku ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete.
  14. Stroke

    Wananchi wamechanganyikiwa hawatambui kama wapo awamu ya Nne au ya Sita

    Ukiangalia mfumo wa uongozi wa awamu ya sita na nne vinafanana sana. (Makusanyo hafifu ya kodi na gharama kubwa za maisha kwa wananchi kwa manufaa ya wafanaya biashara, huduma mbovu za sekta ya umma). Viongozi waliokuwa awamu ya nne katika mashirika ya umma na taasisi nyingine wamerejea kwenye...
  15. Nyankurungu2020

    Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

    Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini? Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania? Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi? Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa? 👇...
  16. Kamanda Asiyechoka

    Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

    Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama. Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni. Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
  17. M

    Tanzania na awamu za uongozi, ya Kwanza hadi ya Sita

    Kumekuwepo na mjadala mkali juu ya kutaka kujua watanzania tuko awamu ya sita au bado tuko awamu ya tano? Mtanzania mwenzetu Ndugu Polepole ametanabaisha kwamba tuko awmu ya tano(5) bado. Watanzania walio wengi wameaminishwa kwamba tuko awamu ya sita (6) Nimejaribu kutafakari kwa kupitia hoja...
  18. Ralphsams

    Kufunguliwa kwa awamu ya nne ya udahili

    Baada ya kukamilika kwa awamu zote tatu za udahili, Tume imepokea maombi ya kuongeza muda wa udahili kutoka kwa baadhi ya waombaji waliokosa udahili kutokana na sababu mbalimbali. Pia, Tume imepokea maombi ya kuongeza muda wa udahili kutoka kwa baadhi ya Taasisi za Elimu ya Juu nchini ambazo...
  19. S

    Baadhi ya mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Kikwete (Sehemu ya 1)

    Kumekuwepo na utaratibu au utamaduni wa kubeza mafanikio na kutokukubali kwa dhati kabisa na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Serikali rais Jakaya Kikwetena chama chake cha CCM. kuna wachache walisema hawauoni ubunifu wala utendaji kazi, uchapakazi wa Rais na uadilifu na uawaminifu Dr. Jakaya...
Back
Top Bottom