Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe.
Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki?
Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
Wakuu salaam,
Nadhani sasa ifike mahali sisi wananchi tuache kudanganywa kwa ahadi hewa. Tumesha kuwa watu wazima sasa, sio watoto.
Huu mradi sote tulishuhudia utiaji saini wake na Mh. Mchengerwa mwaka jana, mwezi Oktoba, na kuahidi utekelezaji wake ufanyike mara moja.
Naomba kuuliza, ni...
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.
Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa.
Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote.
Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
Nilipata maono wakati ule, tarehe 2 ya mwenzi October 2020, niliandika bandiko lililokosa mashiko hapa.
Nimeona tena sehemu kubwa ya maono yale, upande dhaifu wa pili kupata pigo kubwa mapema kabla ya Ulawulo olutsha.
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa Awamu ya Kwanza ya udahili wa Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2024/2025 imekamilika. Majina ya waliodahiliwa katika awamu...
Mnamo tarehe 7 Julai, 2024 OR TAMISEMI waliweka taarifa kwenye tovuti yao kuhusiana na wanafunzi waliochanguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa awamu ya pili.
Ndani ya taarifa yao kwenye tovuti kuna attachment ya excel iliyoandikwa kichwa cha habari "WANAFUNZI WALIOBADILISHIWA SHULE"...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan ametuma salamu nzito za pongezi kwa Mheshimiwa Cyril Ramaphosa ,kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindoo kwa muhula wa pili kama Rais wa Taifa hilo.
Salamu hizo zimetolewa na Rais wetu kupitia...
Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua.
Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho wa afya ya Mzee wetu.
Woto wangu kwenu ndugu zanguni Watanzania wenzangu, tuendelee kusugua goti...
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari.
Kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa...
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuhusu awamu ya pili ya kuunganisha kituo kipya cha kupoza umeme cha 400kV Chalinze na njia ya msongo a kilovoti 220 inayoanzia Luguruni hadi Morogoro.
Kazi hii itakapokamilika itaongeza uwezo wa kituo cha 400kV Chalinze kupokea Umeme...
Leo Desemba 15, 2023 kuna Hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya Usanifu wa Miradi ya Uboreshaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) Kwa Miji 15 ya Kundi la Pili (Tier 2) itakayofanyika Mjini Bukoba Mkoani Kagera.
Miji itakayotekeleza TACTIC Awamu ya Pili ni; Babati, Iringa, Bukoba, Bariadi...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi,
amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili.
Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
Wakuu kwema Aise naandika huku naogopa. Nina wadogo watatu wanaanza first year mwaka huu na walishaaply mkopo cha kishangaza awamu ya kwanza hola hakuna hata mmoja aliepata na waliandikiwa kwenye akaunti zao wasubiri mpaka leo tarehe 21 ila naona siku inaisha hakuna mabadiliko yoyote na hawa...
Historia ya uchumi wetu ni ndefu na isiyo na muendelezo mahususi.Tulitoka uchumi wa soko huria wakati wa uhuru tukaingia ujamaa mwaka 1967, tukarudi kwenye soko huria mwaka 1986 serikali ikiwa bado inashiriki kwa sehemu kubwa kufanya biashara na kushindana na sekta binafsi, mwishowe tukaja...
KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA NA KASI YA UJENZI NA UBORA MAABARA CHANGAMANI TAEC
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi.
Akizungumza kwa niaba ya Kamati...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Chancellor) kwa kipindi kingine cha miaka sita.
Uteuzi huo utaanza Januari 17, 2022.
My take
Mwenye nacho ataongezewa, naye asiyenacho hata kidogo kile alichonacho atanyang'anywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.