Askofu William Mwamalanga, Mwenyekiti wa Kamati ya Maaskofu na Mashekhe ya Maadili ya Dini Tanzania, amewataka viongozi wa dini waliopokea fedha kutoka kwa Rais kuzirejesha, akiwataka kuiga mfano wa viongozi wa kidini wa Kenya waliochukua hatua kama hiyo kwa maslahi ya maadili na uwazi.
PIA...