Wakuu
Msanii Profesa Jay amesema baadhi ya Watu wanaowashambulia Wasanii kama Ay na wengine kutokana na kupanda kwenye majukaa ya Vyama vya siasa, hawawatendei haki kwasababu Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia.
Kwenye mahojiano maalum na Mtangazaji Millard Ayo, Profesa Jay ameeleza yafuatayo...