Naona dalili za Simba kutumia mechi ijayo dhidi ya Pamba kumuaga rasmi golikipa wake Ayoub Lakred.
Ni basi tu ila ungekuwa uamuzi wangu ningebaki na Lakred hadi mwishoni mwa msimu ndiyo nifanye tathmini ya kina ya kipa gani wa kuachana naye.
Kipaumbele changu kingekuwa kumpunguza kwanza...
Uongozi wa simba SC umefikia makubaliano na Ayoub Lakred kuachana.
Ayoub ameitumikia Simba kwa msimu mmoja na kuifanya timu hiyo kushika nafasi ya tatu kwenye Ligi.
Naelewa kuwa Simba SC imefanya maamuzi ya kumuachia Ayoub kutokana na majeraha yake.