ayub rioba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ayub Rioba: Vyama vyote vya upinzani nchini vinafahamu kuwa TBC ni Chombo chao cha Habari na vinakaribishwa muda wote

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ametolea ufafanuzi madai ya baadhi ya watu wanaoishutumu TBC kwa kutovialika baadhi ya vyama vya upinzani, ikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kushiriki mijadala inayohusu siasa. Akijibu shutuma...
  2. Kumlaumu Dkt. Ayub Rioba kutoibadilisha TBC ukijua TBC ni CCM B ni kutaka kutuonyesha chuki zako dhidi yake

    Kama Tido Mhando aliyekuwa Mweledi kabisa akitokea BBC alishindwa Kuibadilisha TBC hadi kuondoka / kuondolewa leo hii unataka kabisa Dkt. Rioba ambae nae hatofautiani sana Kiuweledi na Mzee Tido Dustan Mhando aibadili TBC iwe utakavyo Wewe wakati unajua fika kuwa TBC na CCM ni sawa sawa na Simba...
  3. Rais Samia, Dkt. Ayub Rioba Chacha anafanya nini TBC?

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha hadi sasa sijui kaenda kufanya nini TBC. Kageuzi TBC kama TV ya Chama tawala na anajivunia hilo. Je, rasi, unaona ni sawa kwa usitawi wa kitaifa? TBC ni Shirika la Utangazaji Tanzania (zamani: Televisheni ya Taifa...
  4. Ayub Rioba: JamiiForums ni chombo cha habari na si jukwaa la mtandao

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema JamiiForums ni chombo cha habari na sio Jukwaa la mtandao kama linavyojulikana. Dkt. Rioba amesema hayo mkoani Mwanza wakati wa uwasilishaji mada za mitandao ya kijamii katika mkutano wa Mafunzo wa 108 wa...
  5. Wapinzani Kualikwa TBC. Zitto Kabwe Aalikwa Live Program TBC. Hongera TBC, Hongera Dr. Ayub Rioba, Huu ni Uthibitisho Sasa TBC ni TV ya Taifa ya Wote!

    Wanabodi, Kwa watu wasiojua mambo ya utangazaji na haswa live programs mnaweza msielewe msingi wa pongezi zangu, kwa vile mimi ni Mtangazaji na nilifanyia kazi, TBC, I know what it takes kumualika mpinzani Vocal kama Zitto Kabwe kwenye a live program ya TV, hivyo hizi hongera zangu kwa TBC na...
  6. Ayub Rioba aitisha mkutano na waandishi wa habari Februari 21, 2022 kuhusu madai ya rushwa

    Ameandika katika ukarasa wake wa fb usku huu. kuwa jumatatu ataweka wazi juu ya madai ya kufuatiliwa na TAKUKURU kwa madai ya rushwa. Ukumbi na eneo mtajuljshwa. Pia soma >Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU
  7. Dkt. Ayub Rioba akanusha vikali kuondoka TBC, awaomba Watanzania wapuuze uvumi

    Dkt. Ayub Rioba jana alipata fursa ya kuongea kwenye kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC 1 na kuelezea mambo mengi yanayolihusu shirika ikiwemo kuanzisha chaneli ya kiingereza kuwakabili watu wanaoisema vibaya Tanzania huko duniani. Pia lilikuwepo swali la tetesi za yeye kuachia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…