Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayoub Rioba amesema Habari za kizushi mara nyingi zinawachota watu wajinga ambapo amefafania kuwa ujinga si tusi lakini watu wajinga maana yake ni watu wasiokuwa na maarifa ya kutosha.
Akizungumza kutoka katika kongamano la kwanza la...