Mkazi wa Kijiji cha Sanya Hoyee kilichopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ayubu Salungo (24), amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka msichana wa miaka 16 mwenye mtindio wa ubongo.
Mwendesha Mashtaka, David Chisimba amesema mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo...