azam caf cl 24/25

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr mutuu

    Sioni Azam akishiriki CAF champion league msimu huu

    Kwa utoto alioufanya Azam msimu uliopita akashindwa kufuzu shirikisho vs sijui kale ka timu ka wapi sioni Azam akicheza champions league msimu ujao Azam akishinda mechi ya kwanza hatua za awali anatakiwa apambane na fc Pyramids ya Misri, tena anaanzia Chamazi anaenda kumalizia Misri sioni...
Back
Top Bottom