Kwa utoto alioufanya Azam msimu uliopita akashindwa kufuzu shirikisho vs sijui kale ka timu ka wapi sioni Azam akicheza champions league msimu ujao
Azam akishinda mechi ya kwanza hatua za awali anatakiwa apambane na fc Pyramids ya Misri, tena anaanzia Chamazi anaenda kumalizia Misri sioni...