azam fc vs apr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Azam walijivunja, APR ni aibu kwa Pyramids ingekuwa fedheha

    Heri nusu shari kuliko shari kamili. Ni hesabu tu za MAGAZIJUTO (BDMAS) na mlinganyo (algebra); Kama kwa APR ni hivi kwa Pyramids na Mayele itakuwaje?. Ukishalipata jibu lake unafuata ujivunjaji ili kukiepuka kikombe na kuganga yajayo.
  2. Pdidy

    Baada ya Azam kuondolewa CAFC, kituo kinachofwata msimbazi Simba mjiandae

    Sio kwania mbaya ama nawatisha vizuri mkawa sawa kisaikolojia. Baada ya Azam FC kutupwa nje na APR ya Rwanda katika mashindao ya CAF Champions ligi . Wanaofwata ni Simba SC katika kombe la Shirikisho la Afrika Mashabiki mjiandae kisaikolojia. Soma Pia: FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC |...
  3. Mkalukungone mwamba

    Azam ni kama mtoto anayepewa kila kitu na mzazi wake ila ni mtoto mtukutu sana

    Ukiitazama Azam FC ni timu ambayo uwekezaji wake ni mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati lakini wanachokifanya ni AIBU Tupu! Nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi yani ningekuwa boss wa Azam sijuwi ningekuwa katika hali gani sasa. Maana kama kuwekeza basi ni uwekezaji...
Back
Top Bottom