Kivuko MV. KILINDONI kinachotoa huduma kati ya Mafia Wilayani Mafia na Nyamisati Wilayani Kibiti Mkoani Pwani kitasimama kutoa huduma katika eneo hilo kuanzia siku ya leo Tarehe 12 Februari, 2025 ili kupisha matengenezo pamoja na kufungwa injini mpya.
Kivuko MV. KILINDONI kimewasili leo kikiwa...