Kupitia ukurasa wao wa Instagram, AzamTv imetangaza kurusha tena ligi kuu ya Hispania ( La liga) kuanzia msimu ujao 2024/2025
Awali AzamTv walikuwa wanarusha ligi hiyo kabla ya kuachana nayo na kisha kurudia tena! Ikumbukwe AzamTv anarusha ligi ya Ufaransa, Saudi, Ujerumani, Tanzania na Kenya...