azam yatoka klabu bingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mr pipa

    Bakhresa ili timu yako itoboe kitaifa na kimataifa ushauri wangu mimi kama ni huu

    Tenga muda chukua wachezaji wako wote uwe unapita kuwa pitisha kwenye viwanda vyako ili waone hela ya mshahara wao inavyopatikana na unapokuwa unawapeleka usiongee nao chochote we nyosha tu vidole kwa ishara Ukimaliza hapo wapeleke kwenye mashamba yako ya katani na miwa nako wakaone hela yao...
Back
Top Bottom