Wakenya hawana kitu cha kuwashughulisha sana,tabaka la chini la Kenya wanaipenda sana ligi yao ila hawana support.
AzamTv wakiwekeza mpunga kwenye ligi ya kenya hasa wakiweza kuproduce live,pia wastream kwenye app yao kwa kushirikiana na media za kenya atapata pesa bila ya kua na king’amuzi...
Tunauza na kusambaza kisimbuzi Cha Azamtv, DSTV, Startimes na Zuku.
Na accessories mbalimbali:
#Remote control, #Antenna Cable
#HDMI ( mita moja Hadi 20)
#LNB #TVstand, n.k
Pia tunatoa huduma ya ufundi wa TV, kufunga dish, kufunga TV units.
Tupo Makumbusho na Kimara, Dar es salaam.
+255756126081
Hii ni kwa ajili ya TV na device zinazotumia Android/GoogleTV tu hii haisupport app ya Azam bila shida nyingi za sideloading. Mfano ni Chromecast, Mi TV stick/box, baadhi ya TV za Sony, Hisense, TCL, Nvidia Shield etc.
Hii haihusu TV za Samsung (Tizen), AppleTV, LG (WebOS), VIDAA OS, na TV Box...
Nyie Azam TV shida yenu ni nini? mbona Channel zote za sports hazioneshi? Toka tarehe 01 August mlivyosema kuwa mnaboresha muonekano na kuongeza channel sports4 hamuonekani hadi leo hii.
App za Play store zinabidi zitumie Google Play Subscriptions kwa ajili ya malipo na subscriptions kasoro zile app zinazouza physical goods na services zengine sio za kidigital, lakina naona Azam ukitaka kulipia wanakupeleka site isiyoeleweka ukajaze details zako zote huko hii sio sawa.
Hata...
AzamTv walitangaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro. Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha.
Na leo mpaka sasa hakuna mechi wameonyesha. Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini?
Au Euro ishaisha??
Anyway, imebidi nilipie DStv tu
Nauliza watangazaji wa Azamtv kwenye Ligi kuu ya Tanzania Bara , ina maana wachezaji nje ya Simba na Yanga awawezi kupambwa kwa wanachokifanya wakiwa wanashambulia hizo timu mbili kama wao wakiwa wanashambuliwa.
Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini.
Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa.
Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy.
Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse...
Nimekutana hii huko twitter Baruan Muhuza mmoja ya waandishi nguli na viongozi wa AzamTv ameanzisha chuo chake cha habari kijulikanacho kama Ujiji Brodcasting Academy (UBA) kilichopo Ujiji mkoani Kigoma. Hivi Baruan bado yupo AzamTv au alishaondoka?
Aloyce Nyanda, mwanachadema kindakindani ameajiriwa Azam Tv, katika kurasa mbalimbali za kijamii anazomiliki, amekuwa akitukana serikali na viongozi wake.
Tunasubiri uongozi wa AzamTv kama watakubali awafitinishe na Serikali kwa maslahi yake binafsi na ya chama chake Cha Chadema.
Mbona kama wametupiga sound hawa watu wa Yanga. Walizindua chanel yao kwa mbwembwe ila mpaka sasa mbona hatuioni, au ni mimi ndio sijui namba ya chaneli?
DStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000.
Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndiyo muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu...
Dstv wameshaanza kutangaza kurusha mechi zote 64 za kombe l dunia. Hawa wenzetu wa AzamTv naona mpaka leo wapo kimya, je watarusha mechi zote 64 au watatupa mgao wa mechi kama tanesco ya kipara?
Habari wakuu,
Naombeni msaada wenu.
Nimenunua kisimbuzi cha antena cha Azam bila antena nimekuja nacho kibaha nikaunganisha kwenye antena.
Cha ajabu zinakuja channel za startimes na nimejaribu kusearch zaidi ya Mara tatu lakini channel ni zile zile za startimes zinakuja.
Shida inaweza kuwa...
Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka wazi kwamba, Kila raia wa Tanzania aliyetimiza miaka 18 anayo haki ya kupiga kura katika uchauzi...
Mambo vipi wakuu, nahitaji kujua kitu.
Ivi ile offer ulikua ukinunua kisimbuzi kipya unapewa mwezi mzima bure amna ama?,
Nauliza ivyo maana nimenunua kipya leo kuwasha naona free local chanel
Cha antena 99k
Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000.
Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
Nimekua nikifiatilia channel hii katika kipindi hiki cha mzozo wa Russia-Ukraine ili kuballance matukio.
Sasa leo najaribu kuangalia haipo hewani na kwenye screen ya tv haileti ujumbe wowote either poor signal au vipi.
Je kwa sisi wapenzi wa Russia Today tv ndio imekula kwetu? Je inaweza kua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.