VITA YA AZANIA NA TAMBAZA (1993 - 1994)
Mwaka 1993 Jeshi la Sekondari ya Tambaza liliivamia Sekondari ya Azania kutokea Bonde la Jangwani nyuma ya Hospitali ya Muhimbili baada ya juhudi za kutama kusitisha mapigano kushindikana! Kufumba na kufumbua, askari wa Tambaza walirusha makombora na...