Ile kesi iliyofunguliwa na Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, wakiongozwa na Halima Mdee, inaendelea leo Mahakamani.
Wajumbe wa bodi ya Wadhamini ya Chadema, Dkt. Azavel Lwaitama na Ruth Mollel watahojiwa.
Tuendelee kubaki hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi.