azerbaijan

  1. Minjingu Jingu

    Wa Azerbaijan walaani Unyama wa Russia hadi kwao

  2. Kitimoto

    Rais wa Russia Vladimir Putin Aomba Msamaha kwa Ajali ‘Mbaya’ ya Shirika la Ndege la Azerbaijan bila Kukiri Kuwajibika

    Rais wa Russia Vladimir Putin ameomba msamaha kutokana na ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan kuanguka baada ya kuingia anga ya Russia huko Grozny, Chechnya siku ya Jumatano, lakini hakusema kuwa Russia ilihusika. Putin alisema Jumamosi kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya Russia ilikuwa hai...
  3. M24 Headquarters-Kigali

    Ajali ya Azerbaijan Airlines iwe somo kwa ATC!

    1. Nianze kwa kuwapa pole wafiwa na majeruhi wote katika ajali ya Azerbaijan airlines iliyotokea jana huko Kazakhastan. 2. Natumaini ni somo tosha kwa ndege pendwa ATC kuzingatia hatua zote za usalama (kabla ya safari) Isije kuwamwaga watu huko milima ya Uluguru na hatuna bimbo vya uokozi sijui...
  4. Mkalukungone mwamba

    Ndege ya Azerbaijan yaanguka na kusababisha vifo vya watu 38 waliokuwa ndani, kwa mujibu wa Mamlaka za Kazakhstan

    Ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan iliyokuwa imebeba watu 67 imeanguka karibu na mji wa Aktau nchini Kazakhstan leo na kusababisha vifo vya watu 38 waliokuwa ndani, kwa mujibu wa Mamlaka za Kazakhstan. Katika operesheni kubwa ya uokoaji, manusura 29 wakiwemo watoto wawili waliokolewa...
  5. Mad Max

    FT: Tanzania 0-1 Bulgaria | Friendlies| 22 March 2024 16:00 Hours | Dalga Arena (Baku, Azerbaijan)

    Vijana wetu wa Taifa Stars leo wanakutana na Bulgaria katika mechi ya kirafiki, uko Baku, Azerbaijan katika kiwanja cha Dalga Arena mida ya saa 10 jioni, masaa ya Africa Mashariki. Ni matumaini yangu Azam watatubariki na hii mechi tuone kama vijana wetu wame improve tokea wacheze AFCON...
  6. MK254

    Gaidi la Iran laingia Iran laingia ubalozi wa Azerbaijan na kuua watu

    Mataifa mengine bana, fulu mzuka wa watu kujilipua mabomu na kumimina risasi, yaani gaidi limewehuka kuingia ubalozi na kuanza kuua watu..... DUBAI, United Arab Emirates — A gunman stormed the Azerbaijan Embassy in Iran’s capital Friday, killing its security chief and wounding two guards in an...
  7. M

    Nancy Pelosi awasili nchini Armenia na kuilaumu Azerbaijan kwa mapigano ya mipakani

    Speaker wa Bunge la wawakilishi nchini Marekani,Nancy Pelosi amewasili katika mji Mkuu wa Armenia,Yerevan. Ziara hiyo inakuja baada ya Mapigano makali ya Kijeshi Kati ya Armenia na Azerbaijan yaliyosababisha Vifo vya Wanajeshi zaidi ya 250 kutoka pande zote Mbili. Mapigano hayo yalitokea katika...
  8. MK254

    Urusi yabembeleza Armenia na Azerbaijan waache vita

    Urusi imetia adabu, leo hii wamekua wa kwanza kuhubiri amani, yawaomba Armenia na Azerbaijan waache kupigana. ===== "We hope that the agreement reached as a result of Russian mediation on a ceasefire from 9 a.m. (local time) on September 13 will be fully implemented," the Russian Foreign...
  9. Axel Lloyd

    Armenia na Azerbaijan kunafukuta, warushiana mizinga

    Mgogoro wa Armenia na Azerbaijan upo mbioni kufufuka tena baada ya Armenia na Azerbaijan kulaumiana kufanya mashambulizi. Armenia inailaumu Azerbaijan kufanya mashambulizi ya mizinga na drones dhidi yake huku Azerbaijan ikiishutumu Armenia kufanya mashambulizi ya risasi dhidi ya wanajeshi wake...
Back
Top Bottom