Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji ya kisiasa Nchini Tanzania.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina
Bali...
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Suleiman Kissoki amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 6, 2024 nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam.
Akizungumzia taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa Shiwata, Michael Kagondela alisema hadi jana jioni, marehemu alikuwa...
Binti mmoja aliyefariki huko Ghana familia yake imeamua kununua jeneza lenye umbile la umme uliosimama (dinda) na kende zake..nawaza lingehitajika jenesa la umbile la uke lingekaaje na mashavu yale
A family in Ghana buried their daughter (prostitute) in a casket resembling what she liked most...
HAPA MAJUZI KUNA MEMBER ALIWEKA UZI KUNA PIK PIK ZAIDI YA 200 PALE KAWE DARAJANI AMBAZO NILIWAPA INFO N MWIZI AKAKRUIIA KWENYE DARAJA
KWA HESHIMA KABISA NIWATANGAZIE MTOTO WA DALALI MUHA AMEFARIKI NA MAZIKO YAMESHAFANYIKA
KIJANA ALIPELEKWA SHAMBA HOSPT KAWE WAKAMPELEKA MUHIMBILI
HATIMAE...
Msaidizi wa zamani wa Padri (Katekisita) katika Kigango cha Kanisa Katoliki Kijiji cha Mkwajuni, Florian Mwamosi (70) amekufa baada ya kuzikwa akiwa hai katika kaburi moja na mtu anayedaiwa kumuua kwa njia ya kishirikina.
Tukio hilo limetokea katika Kitongoji cha Maweni kijijini hapo wilayani...
Sumbawanga. Jeshi la Polisi mkoani Rukwa, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumpiga na kumpora fedha zaidi ya Sh 1.8 milioni kisha kumzika akiwa hai mfanyabiashara wa mazao, Baraka Nyangala (30) na kumsababishia umauti.
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa...
Joel Misesemo enzi za uhai wake
Mwili wa MC Joel Misesemo Mkazi wa Mwananyamala ambaye alijirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza lililopo Makumbusho Kijitonyama na kufariki, umezikwa leo katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa Polisi Dar es salaam...
Taarifa kamili fuatilia gazeti la Mwananchi Aliyejirusha ghorofani azikwa Dar, Mchungaji asema…
Marehemu ameacha mke bila mtoto wa kumzas lakini ana watoto zaidi ya 10 aliokuwa anawalea.
Pumzika Kwa amani Joel
Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina.
Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa...
Simanzi na majonzi vimetawala katika mazishi ya mmoja kati ya abiria 19 waliofariki katika ajali ya ndege iliyotokea Ziwa Victoria mkoani Kagera, Zaituni Mohamed (28), ambaye amezikwa tarehe ambayo inafanana na siku aliyozaliwa.
Leo Jumatano Novemba 9, 2022 tofauti na misiba mingine ulinzi...
Mbwa mmoja wa Polisi aitwaye Zanjeev amekuwa mbwa wa polisi nchini India kwa miaka mingi.
Amewasaidia polisi kutatua kesi nyingi za jinai ambazo bila yeye wangeshindwa kuwatia hatiani wahalifu.
Lakini tukio lililompa umaarufu mkubwa ni wakati magaidi toka Pakistan walipotega mabomu mjini...
Dkt. Mohamed Ali aliyekuwa akisomea Udaktari Bingwa wa Upasuaji alizikwa katika makaburi ya umma huko Fort Portal jana Oktoba 2, 2022.
Kwa mujibu wa Dkt, Alex Adaku, Mkurugenzi wa Fort Portal Regional Referral Hospital ambako Dkt. Mohammed Ali alilazwa hadi umauti, amesema walifikia uamuzi huo...
Kijana mwenye asili ya Kitanzania ambae alikuwa mwanajeshi huko Marekani ambae alijipiga risasi risasi wiki iliyopita na kufa hapo hapo amezikwa kwa heshima za kijeshi huko Los Angeles nchini Marekani.
Kijana huyo ameacha mke ambae walioana miaka mitatu iliyopita.
Hata hivyo haijajulikana...
Hatimaye mwili wa Mzee Wilson Ogeta (89) umezikwa kijijini Nyambogo baada ya kukaa mochwari takriban miezi minane bila kuzikwa, kufuatia mgogoro wa ardhi kati ya familia ya mzee huyo na mtu mmoja anayedaiwa kununua eneo la makazi ya mzee huyo.
Mzee Wilson Ogeta alifariki dunia Januari 10 mwaka...
Hamza Mohamed Hassan aliyefanya mauaji pale Selender bridge azikwa. Jamii, rafiki na ndugu zake Wamzika
====
Dar es Salaam. Mwili wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na jeshi la Polisi amezikwa leo Jumapili Agosti 29, 2021 saa 2:30 usiku katika...
Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amefariki dunia usiku huu Februari, 26 akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameungana na Watanzania kuomboleza kifo hicho huku akituma salamu za pole kwa wafiwa wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.