The Arusha Declaration Monument (Swahili: Mnara wa Azimio la Arusha) is a landmark monument and tourist attraction in Arusha, Tanzania. It was unveiled in 1977 by the nation's ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party to commemorate ten years of the Arusha Declaration. It is situated along Makongoro Road at the centre of the roundabout.
In April 2015, part of the monument was vandalised when one of its copper plaques was stolen.
Hivi viongozi wetu wamesoma hii document ya Azimio la Arusha?
Pesa tunaitaka, lakini tusifikiri yenyewe ndiyo italeta maendeleo ya nchi. Mikopo inaturudisha nyuma inafanya tuishi maisha magumu sana. Kodi zipo juu ili tu tuweze kulipa mikopo. 😭😭😭
Nadhani ni muda muafaka wa kusambaza kwa nguvu zote ujumbe uliopo kwenye AZIMIO LA ARUSHA.
Hii document imezikwa ili Watanzania waendelee kutawaliwa na walafi wachache.
Nakushauri ukiwa unasoma Azimio la Arusha, weka sauti ya ukali kidogo 🤣🤣🤣🤣
Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya:
..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza.
Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani....
Ni wimbo wa miaka mingi...
Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita
Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
HAMISI HERI KUTOKA UASISI WA TANU 1954, KURA TATU 1958 HADI AZIMIO LA ARUSHA 1967
Familia ya Hamisi Heri imeipatia Maktaba picha ya Hamisi Heri mmoja wa waasisi wa TANU, Tanga.
Picha imepigwa Korogwe mwaka wa 1967 wakati huo Hamisi Heri akiwa Mwenyekiti wa TANU wa Mkoa wa Tanga akikagua miradi...
Wakati mwingine mjadala ya kinyang'au huwachochea Wananchi nao wavunje sheria
Wananchi Hawa siyo Wajinga ndio sababu tunasisitiza Uzalendo uanzie Juu kushuka Chini na si kinyume chake
Wakati wa Azimio la Arusha mjadala wa Bashe na Mpina Usingekuwepo Kwa sababu ya miiko ya Uongozi
Miiko...
“Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress”
In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the Secretary-General of Chama cha Mapinduzi (CCM), outlined a compelling roadmap for Tanzanian leaders to...
Maamuzi ya Zanzibar
Mwaka 1991 Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ilikutana mjini Zanzibar na kufanya mabadiliko ya Azimio hilo.
Akizungumza na wazee wa chama, viongozi wa Taifa, mashirika ya umma na watu binafsi Februari 25, 1991 jijini Dar es Salaam, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM...
Habari Tanzania!
Poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale kwa marika yote.
Napenda kutoa wazo kwa Utawala wa sasa na ule ujao kama itawapendeza na kuona inafaa kwao; na wanapenda kuona kesho yao ikiwa nzuri wanapaswa kwanza kulifufua upya Azimio la Arusha na baadae ndio pafanyike kusimikisha...
Katika kizungumkuti hiki kinachoendelea leo, Wakubwa wanapeana Mahekalu na Mabenzi wakati wanananchi mamilioni kwa mamilioni wanatopea kwenye lindi la umasikini, Imenikumbusha kauli ya mwalimu Nyerere kuwa ipo siku wananchi Watasimama na kulidai tena Azimio la Arusha!
Binafsi ninajua kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.