aziz ki yanga

Stephane Aziz Ki (born 6 March 1996) is a professional footballer who plays as a midfielder for Tanzanian Premier League club Young Africans. Born in the Ivory Coast, he plays for the Burkina Faso national team.

View More On Wikipedia.org
  1. MFALME WETU

    Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

    ugonile, Ntakua wa mwisho kuamini kuwa Aziz Ki kafanya maamuzi ya kufunga ndoa na Hamisa bila kupigwa juju Wanawake wengi wa kibongo wanatabia kwamba wakipata mchumba au danga lenye vijisenti wanamwendea kwa mganga ili wasiachike, wapo tayari kuwashirikisha hata mama zao ilo suala ili mambo...
  2. Waufukweni

    Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine

    Mchezaji wa soka maarufu, Aziz Ki, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mapenzi yake na mpenzi wake, Hamisa Mobetto. Akitumia mtandao wa kijamii wa Instagram, Aziz Ki ameandika ujumbe wa kipekee kwa Mobetto, akimtakia Siku ya Valentine na kuelezea jinsi alivyojisikia kuhusu uhusiano wao saa...
  3. Majok majok

    Hongereni Yanga kubeba tuzo saba za TFF, Sio kwa bahati mbaya bali ubora wenu ndio unaowabeba

    Tuzo za TFF zimeonyesha ni kwa namna gani timu ya wananchi ilivyokuwa bora msimu uliopita, walijipanga kwa usajili bora kuanzia kwa kocha mpaka Wachezaji. Ukilima vizuri basi pia utavuna vizuri, uwezi kupanda bangi ukategemea kuvuna mahindi ulichokipanda ndicho utakachovuna, tumeona wengine...
  4. GENTAMYCINE

    Kweli nimeamini kila Mtu na Kipaji chake Azik K katika huo Wimbo wa Diamond wa Kutambulisha Jezi Mpya ndiyo kaharibu kwani hajui kabisa Kucheza Muziki

    Hongera sana kwa aliyekuwa Jirani yangu Misufini Morogoro Mdogo wangu Dickson Job na Dube kwa kujua Kucheza.
  5. Vincenzo Jr

    Aziz Ki bado yupo sana Yanga, asaini mkataba wa kuendelea na klabu hiyo

    Bado tupo nae sana mwamba huyu wale mliokuwa mnasema anaondoka mwamba haondoki na ataendelea kuwapiga mashuti makali sana 😂😁. Mwamba kabakia Yanga SC Cc ephen_ Is here to Stay 🔥 🟡 🟢 Baaasi. Wananchi Ubingwa wa Africa tunao 😂✍️ Pia soma Aziz Ki atua Dar kimafia kumalizana na Yanga, leo...
  6. Erythrocyte

    Andambwile amrithi Aziz Ki Yanga

    Taarifa kutoka Club ya soka ya Yanga inaeleza kwamba, timu hiyo imemsajili Aziz Andambwile ili kumrithi Aziz Ki, anayetajwa kuondoka baada ya mkataba wake kumalizika na huku Yanga ikishindwa masharti ya mkataba mpya, kutokana na umasikini. Tumtakia kila la heri Aziz huyu mpya anayeingia...
  7. Vichekesho

    Serikali ihakikishe Aziz Ki anabaki Yanga

    Chonde chonde, viongozi wa serikali hakikisheni club hii yenye nasaba na Uhuru wa hii nchi (Dar es Salaam Young Africans) 1. Inambakiza Aziz Ki (kwa makusanyo ya ndani hususa ni bandarini) 2. Wafanyabiashara wakubwa walio wekeza Tanzania kama GSM, DP World, Rostam Aziz Aliko Dangote na wengine...
Back
Top Bottom