Huyu ni MwenyeKiti wa Wilaya ya Tarime.
Anaitwa Marwa Ngicho, hapa alikuwa msibani anawaambia Wananchi wana maisha mazuri kupitia CCM.
Wananchi walimzoea msibani bila kuogopa.
Soma Pia: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hizi sio dalili nzuri kwa Chama...
Hali inazidi kuwa mbaya kwa wafuasi wa iblis
Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako...
Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”.
Amandus Chinguile ni mbunge wa Magufuli hakutokana na...
Erling Haaland amekutwa na tukio hilo baada ya timu yake ya Taifa ya Norway kupoteza mchezo kwa magoli 2-1 dhidi ya Scotland, ambapo aliingia kwenye basi ya tmu moja kwa moja bila kuwasalimia mashabiki ambao walikuwa wakimsubiri kwa nje.
Matokeo hayo yanaifanya Norway kutokuwa katika nafasi ya...
Hii ilitokea baada ya mwanayanga mmoja kuingia ghafla chooni na kumsikia Manara akicheka. Alipomuuliza Manara alikataa kuwa hakuwa akiicheka yanga. Ila alikuwa anawacheka simba kwa kutoa draw kule Morocco.
Baada ya timu ya wananchi kuchezea kichapo katika siku ya tamasha lao pendwa.
Msemaji wa mpya Haji Manara aka Bugatti amerekodiwa akizomewa na mashbiki wenye hasira kali.
#PoleSanaManara
Hakika cheo ni dhamana. Tumia cheo kutenda haki, tenda kazi ya Mungu.
Hili ni funzo kubwa sana kwa wenzetu mnaoteuliwa na kuchaguliwa. Oneni mwenzenu anavyodhalilika. Hamjachelewa sana,huu ni wakati wa kulia na kutubu hadharani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.