azomewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime azomewa na Wananchi

    Huyu ni MwenyeKiti wa Wilaya ya Tarime. Anaitwa Marwa Ngicho, hapa alikuwa msibani anawaambia Wananchi wana maisha mazuri kupitia CCM. Wananchi walimzoea msibani bila kuogopa. Soma Pia: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Hizi sio dalili nzuri kwa Chama...
  2. Pre GE2025 Video: Miraji Mtaturu, Mbunge wa Singida Mashariki Akataliwa kwa kuzomewa na wananchi

    Wananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
  3. M

    Waziri Mkuu wa Canada azomewa msikitini, aambiwa "huna haya"!

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa wafuasi wa iblis Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako...
  4. Lindi: Mbunge wa CCM Nachingwea azomewa na Wananchi

    Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”. Amandus Chinguile ni mbunge wa Magufuli hakutokana na...
  5. Haaland azomewa na mashabiki wake baada ya mechi

    Erling Haaland amekutwa na tukio hilo baada ya timu yake ya Taifa ya Norway kupoteza mchezo kwa magoli 2-1 dhidi ya Scotland, ambapo aliingia kwenye basi ya tmu moja kwa moja bila kuwasalimia mashabiki ambao walikuwa wakimsubiri kwa nje. Matokeo hayo yanaifanya Norway kutokuwa katika nafasi ya...
  6. Manara azomewa baada ya Kikutwa Chooni anawacheka Yanga

    Hii ilitokea baada ya mwanayanga mmoja kuingia ghafla chooni na kumsikia Manara akicheka. Alipomuuliza Manara alikataa kuwa hakuwa akiicheka yanga. Ila alikuwa anawacheka simba kwa kutoa draw kule Morocco.
  7. VIDEO : Manara azomewa na mashabiki baada ya Yanga kula Kichapo

    Baada ya timu ya wananchi kuchezea kichapo katika siku ya tamasha lao pendwa. Msemaji wa mpya Haji Manara aka Bugatti amerekodiwa akizomewa na mashbiki wenye hasira kali. #PoleSanaManara
  8. Video: Sabaya azomewa "mwiziiiii mwiziiiii!" Hakika cheo ni dhamana

    Hakika cheo ni dhamana. Tumia cheo kutenda haki, tenda kazi ya Mungu. Hili ni funzo kubwa sana kwa wenzetu mnaoteuliwa na kuchaguliwa. Oneni mwenzenu anavyodhalilika. Hamjachelewa sana,huu ni wakati wa kulia na kutubu hadharani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…